tafuta ukiwa humu blogin

Saturday, September 29, 2012

WOTE WANGEKUWA KAMA HUYU RAHA SANA











YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA UZURI WAKE AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA MASTAA KIBAO WA MBELE WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA... KLYINN AMBAYE ALIAMUA KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA.. SI UNAMJUA? DONT ASK ME ANYTHING... MLIOKUWA MKIPREDICT HAWAWEZI KUFIKA MBALI KATIKA MAHUSIANO YAO SASA MMEUMBUKA AS KLYINN AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...